Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS
Recent posts

EMMANUEL FRANCIS NIMEFUNGA MWAKA NA EP -NAKUAMINI

January 1 2022 , Written by pascal kadushi

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Emmanuel Francis mwenye Masikani yake Jijini mwanza, Anayevuma kwa sasa na kazi zake kama vile 'Ngara na Nuru ' Amesema kwa mwaka 2021 Nimefuna na Ep (Nakuamini) Tayari ipo kwenye mitandao yangu ya kijamii Youtube, Boomplay...

Read more

LEAH BARU NAKUJA KIVINGNE 2022

January 1 2022 , Written by pascal kadushi

Uthamani nilio nao kwa Mungu ni mkubwa sana, haufanani na chochote wala kulingana na chochote.Hata kama nitapitia magumu mangapi bado ni wathamani machoni pa... Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Tanzania Anayevuma kwa sasa na kibao chake cha 'WATHAMANI'...

Read more

Tukio kubwa leo, Rais Magufuli ampa maagizo mazito Mh, Msuya

September 13 2018 , Written by pascal kadushi

Uploaded by Bongovevo on 2018-09-13.

Read more

Mchungaji aliyepigwa risasi 40 na majambazi bila kupenya mwilini

September 10 2018 , Written by pascal kadushi

Wakati ulimwengu ukibuni njia ya kuweza kubuni mavazi ambayo yatazuia risasi kutokupenya kiurahisi kwenye mwili wa binadamu, hii ni tofauti kwa Mchungaji wa Kanisa la Grace and Power Prophetic Ministry International, David Elijah kutoka Nigeria ambaye...

Read more

Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwandosya, ampa Wasira

September 10 2018 , Written by pascal kadushi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Stephen Masato Wasira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Wasira anachukua nafasi ya Prof. Mark James Mwandosya. Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua...

Read more

Kauli ya Spika Ndugai kwa Wabunge wanaojichubua

September 10 2018 , Written by pascal kadushi

Spika wa Bunge Job Ndugai amepiga marufuku kwa Wabunge wote kutoingia Bungeni wakiwa na kope bandia na kucha Bandia, lakini pia amesema anaendelea kukusanya maoni kuhusu wale wanaojichubua ngozi zao ili nalo alifanyie maamuzi. Spika Ndugai amesema hayo...

Read more

Kifo cha Mohammed Kirumira kimezusha masuali kuhusu ongezeko la vifo vya maafisa wa usalama Uganda

September 10 2018 , Written by pascal kadushi

Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jana usiku alihutubia taifa ambapo alizungumzia masuala kadhaa ambayo yameshuhudiwa nchini humo siku za hivi karibuni. Hotuba ya rais iliangazia sana changamoto za usalama zinazoikumba nchi kwa sasa. Lakini pia alizungumzia...

Read more

Mwimbaji wa Kwaya Akutwa Amefariki Guest

September 7 2018 , Written by pascal kadushi

Mwimbaji wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT Chang’ombe (CVC), Mariam Charles (22) amekutwa amefariki katika nyumba ya wageni iliyopo Buza anakodaiwa alikuwa na mchumba wake (jina linahifadhiwa kwa sasa). Kwa mujibu wa baba mzazi wa marehemu, Charles...

Read more

Mgombea mkuu wa urais Brazil achomwa Kisu

September 7 2018 , Written by pascal kadushi

Mgombea anayeongoza anaeminika anaweza kushinda uchaguzi nchini Brazili Jair Bolsonaro, amechomwa kisu wakati wa kampeni zake , mgombea huyo wa mrengo wa kulia alichomwa kisu katika mkutano mkubwa wenye mkusanyiko wa watu wengi katika eneo la kusini mashariki....

Read more

MCHINA AFUKUZWA KENYA KWA KOSA LA KUMUITA RAISI WA KENYA NI NYANI

September 7 2018 , Written by pascal kadushi

Mfanyabiashara raia wa China anaeishi nchini Kenya, Liu Jiaqi amekamatwa kufuatia kusambaa kwa video yake katika mitandao ya kijamii inayomuonesha akiwakashifu raia pamoja na Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta. Taarifa ya uhamiaji nchini Kenya imesema...

Read more
1 2 3 4 > >>