Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS
Recent posts

Amchoma moto mwanae kisa laki 2

September 6 2018 , Written by pascal kadushi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliro amethibitisha kukamatwa kwa mwanamke anayetuhumiwa kumuunguza mtoto wake wa kumzaa kwa mafuta ya taa kwa madai ya kuiba kiasi cha shilingi laki mbili zilizokuwa zimehifadhiwa ndani. Kamanda...

Read more

Daktari afunguka Kijana aliekutwa na Mswaki, Kijiko, Kiberiti, Betri tumboni

September 6 2018 , Written by pascal kadushi

habari ya kushangaza kutokea Mkoani Kagera ambapo Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mgana Dr. Eliud Nyonyi anaelezea tukio la operation ambayo wameifanya hivi karibuni na kukuta vitu vya ajabu katika tumboni la mgonjwa. . Kakijana walio mpokea wiki iliyopita...

Read more

EBENEZA FAMILY BAND WANAKWENDA KUWEKA HISTORIA CCM KIRUMBA TAREHE 9/9/2018

September 5 2018 , Written by pascal kadushi

EBENEZA FAMILY BAND Ni band ya kumuimbia na kumsifu mungu kupitia Uimbaji,Band hiyo iliyopo chini ya Mtumishi wa Mungu Mch.Dr.Jakobo Mtashi wa Kanisa la EAGT Kiloleni Mwanza, Wanatarajia kufanya Uzinduzi wa Albamu yao Inayokuja kwa jina TULIZA MAWIMBI...

Read more

NIMEKUSOGEZEA PK news KUSOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO 5 SEP 2018

September 5 2018 , Written by pascal kadushi

Hakuna haja yakupigana vikumbo kwenye vibanda vya magazeti etii unataka kupitia vichwa vya magazeeti sasa ni rahisi sana baada ya kupitia vichwa vyote vya magazeti ndani ya blog ya PK news Ingia sasa ukasome tayari nimekuwekea 5sep.2018

Read more

Tahadhari yatolewa kuhusu taarifa potofu za dawa kinga ya minyoo na kichocho Tanzania

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Wataalam wa afya nchini Tanzania wametahadharisha juu ya uwepo wa taarifa katika mitandao ya kijamii zinazoweza kuleta taharuki juu ya dawa kinga dhidi ya minyoo na kichocho zinazotolewa hivi sasa mashuleni nchini humo. Hii inakuja baada ya kuibuka kwa...

Read more

Ni vipi umri wa moyo wako unakuweka kwenye hatari ya kupatwa na mshutuko wa moyo au kiharusi?

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Afya ya umma nchini Uingereza imewashauri watu walio na zaidi ya miaka 30 kujipima mitandaoni ili wapate kuelewa umri wa mioyo yao, hatua inayowasaidia kufahamu iwapo wako kwenye hatari ya kupatwa na mshutuko wa moyo au kiharusi. Mfumo huo unatambua...

Read more

Msafara wa Rais Magufuli umepata ajali

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Msafara wa Rais Dkt. John Magufuli uliokuwa ukielekea wilayani Ukerewe mkoani Mwanza, umepata ajali katika Kijiji cha Kasuguti, kata ya Kisorya, wilayani Bunda mkoani Mara, leo Septemba 4, 2018 baada ya magari manne kugongana katika eneo ambalo barabara...

Read more

Mume amuua Mkewe kisa kuchat usiku

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Jeshi la polisi Mkoani Pwani limefanikiwa kumkamata Salum Mzee Kondo (38), fundi ujenzi mkazi wa Kidongo Chekundu, Bagamoyo aliyehusika na tukio la mauaji ya mkewe, Mwajuma Omary (27) kisha kutoroka baada ya kutenda kosa hilo. Mtuhumiwa huyo amekamatwa...

Read more

Chadema wasusia Bunge, watoka ndani ya ukumbi

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akila kiapo cha uaminifu bungeni leo, Septemba 4, 2018. Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi...

Read more

Askari polisi mbaloni kwa kusababisha kifo cha raia

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia askari wake 10 kwa kusababisha kifo cha Selemani Jumapili ambaye alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya Igunga kwa matibabu. Baba wa kijana aliyeuawa kwa kupigwa na Polisi tisa...

Read more
<< < 1 2 3 4 > >>