Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS

EMMANUEL FRANCIS NIMEFUNGA MWAKA NA EP -NAKUAMINI

January 1 2022 , Written by pascal kadushi

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Emmanuel Francis mwenye Masikani yake Jijini mwanza, Anayevuma kwa sasa na kazi zake kama vile 'Ngara na Nuru ' Amesema kwa mwaka 2021 Nimefuna na Ep (Nakuamini) Tayari ipo kwenye mitandao yangu ya kijamii Youtube, Boomplay...

Read more

LEAH BARU NAKUJA KIVINGNE 2022

January 1 2022 , Written by pascal kadushi

Uthamani nilio nao kwa Mungu ni mkubwa sana, haufanani na chochote wala kulingana na chochote.Hata kama nitapitia magumu mangapi bado ni wathamani machoni pa... Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Tanzania Anayevuma kwa sasa na kibao chake cha 'WATHAMANI'...

Read more