LEAH BARU NAKUJA KIVINGNE 2022
Leah Baru - WATHAMANI - (Official Audio)
Uthamani nilio nao kwa Mungu ni mkubwa sana, haufanani na chochote wala kulingana na chochote.Hata kama nitapitia magumu mangapi bado ni wathamani machoni pa...
Mwimbaji wa Nyimbo za Injili kutoka Tanzania Anayevuma kwa sasa na kibao chake cha 'WATHAMANI' Leah Baru amesema 2021 ulikua mwaka wakuandaa Kazi zangu kwa ajili yakukamilisha Albamu yangu