Overblog
Edit post Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS

EMMANUEL FRANCIS NIMEFUNGA MWAKA NA EP -NAKUAMINI

January 1 2022 , Written by pascal kadushi

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Emmanuel Francis mwenye Masikani yake Jijini mwanza, Anayevuma kwa sasa na kazi zake kama vile 'Ngara na Nuru ' Amesema kwa mwaka 2021 Nimefuna na Ep (Nakuamini) Tayari ipo kwenye mitandao yangu ya kijamii Youtube, Boomplay na Audiomack kwa jinala la Emmanuel Francis

Share this post
Repost0
To be informed of the latest articles, subscribe:
Comment on this post