Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS

Top posts

  • Tahadhari yatolewa kuhusu taarifa potofu za dawa kinga ya minyoo na kichocho Tanzania

    04 September 2018

    Wataalam wa afya nchini Tanzania wametahadharisha juu ya uwepo wa taarifa katika mitandao ya kijamii zinazoweza kuleta taharuki juu ya dawa kinga dhidi ya minyoo na kichocho zinazotolewa hivi sasa mashuleni nchini humo. Hii inakuja baada ya kuibuka kwa...

  • Masanja Mkandamizaji akiri kuongoza kwa utajiri.

    07 September 2018

    Mtaani kulikuwa na mjadala kuhusu utajiri wa wasanii hapa nchini, jina la msanii na mwigizaji, ambaye kwa sasa ni Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ likatajwa kuwafunika wasanii wenzake, msanii huyo amekiri kuwa yeye ni tajiri na anaongoza...

  • NIMEKUSOGEZEA PK news KUSOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO 5 SEP 2018

    05 September 2018

    Hakuna haja yakupigana vikumbo kwenye vibanda vya magazeti etii unataka kupitia vichwa vya magazeeti sasa ni rahisi sana baada ya kupitia vichwa vyote vya magazeti ndani ya blog ya PK news Ingia sasa ukasome tayari nimekuwekea 5sep.2018

  • BREAKING NEWS: Ngome ya Mbowe yatikiswa, Wenyeviti 19 wamkimbia

    06 September 2018

    Wenyeviti wa vijiji 19 kupitia tiketi ya Chadema wilayani Hai katika Mkoa wa Kilimanjaro wamejivua uanachama wao na kuhamia CCM leo hii. Miongoni mwa waliojiudhuru ni Emanuel Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa kijiji cha Nshara anayedaiwa kuwa na udugu na...

  • Kifo cha Mohammed Kirumira kimezusha masuali kuhusu ongezeko la vifo vya maafisa wa usalama Uganda

    10 September 2018

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni Jana usiku alihutubia taifa ambapo alizungumzia masuala kadhaa ambayo yameshuhudiwa nchini humo siku za hivi karibuni. Hotuba ya rais iliangazia sana changamoto za usalama zinazoikumba nchi kwa sasa. Lakini pia alizungumzia...

  • NIMEKUSOGEZEA PK news KUSOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO 4 SEP 2018

    04 September 2018

    Hakuna haja yakupigana vikumbo kwenye vibanda vya magazeti etii unataka kupitia vichwa vya magazeeti sasa ni rahisi sana baada ya kupitia vichwa vyote vya magazeti ndani ya blog ya PK news Ingia sasa ukasome tayari nimekuwekea

  • Mwimbaji wa Kwaya Akutwa Amefariki Guest

    07 September 2018

    Mwimbaji wa Kwaya ya Vijana ya Kanisa la AICT Chang’ombe (CVC), Mariam Charles (22) amekutwa amefariki katika nyumba ya wageni iliyopo Buza anakodaiwa alikuwa na mchumba wake (jina linahifadhiwa kwa sasa). Kwa mujibu wa baba mzazi wa marehemu, Charles...

  • EBENEZA FAMILY BAND WANAKWENDA KUWEKA HISTORIA CCM KIRUMBA TAREHE 9/9/2018

    05 September 2018

    EBENEZA FAMILY BAND Ni band ya kumuimbia na kumsifu mungu kupitia Uimbaji,Band hiyo iliyopo chini ya Mtumishi wa Mungu Mch.Dr.Jakobo Mtashi wa Kanisa la EAGT Kiloleni Mwanza, Wanatarajia kufanya Uzinduzi wa Albamu yao Inayokuja kwa jina TULIZA MAWIMBI...

  • Amchoma moto mwanae kisa laki 2

    06 September 2018

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni Muliro Jumanne Muliro amethibitisha kukamatwa kwa mwanamke anayetuhumiwa kumuunguza mtoto wake wa kumzaa kwa mafuta ya taa kwa madai ya kuiba kiasi cha shilingi laki mbili zilizokuwa zimehifadhiwa ndani. Kamanda...

  • Mama wa kambo 'aamrisha' mwanawe wa kike mwenye umri wa miaka 9 kubakwa na genge

    06 September 2018

    Maafisa wa polisi wamewakamata watu sita kuhusiana na ubakaji wa kikundi na mauaji ya msichana wa miaka tisa nchini India katika jimbo la Kashmir. Maafisa wanasema kuwa mama wa kambo wa msichana huyo alimwambia mwanawe wa kiume mwenye umri wa miaka 14...

  • Dawa Za Nywele Zinazosababisha Uvimbe Wa Kizazi Kwa Wanawake

    07 September 2018

    Dawa za kulainisha nywele (relaxer) zimekuwa zinapendwa na wanawake wengi wa Afrika kwa kuwa zina uwezo wa kulainisha nywele na kumfanya apendeze na awe wa kuvutia. Hata hivyo, wataalamu wa afya wanadai kuwa dawa hizo zinasababisha uvimbe kwenye kizazi...

  • Hizi Ndizo Faida Utakazozipata Kutokana Na kupumzika

    07 September 2018

    K utokana na mabadiliko ya mtindo wa maisha, watu wengi hawapati muda wa kutosha wa kupumzika. Mara nyingi mtu anapozidiwa hupunguza zaidi muda wa kupumzika ili akamilishe majukumu yake. Ni wazi kuwa watu wengi hawafahamu umuhimu wa kupumzika, ndiyo maana...

  • Bob win yuko marekani na amefanya mahojiano na mwandishi wa BBC 'Uganda ntarudi,Walinipiga,wakanidunda'

    07 September 2018

    Baada ya kuripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Bunge la Uingereza limejadili suala la kuteswa kwa msanii na mbunge wa jimbo la Kyadondo nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssentamu anayejulikana kwa jina maarufu la Bob Wine . Leo kupitia ukurasa...

  • Kauli ya Spika Ndugai kwa Wabunge wanaojichubua

    10 September 2018

    Spika wa Bunge Job Ndugai amepiga marufuku kwa Wabunge wote kutoingia Bungeni wakiwa na kope bandia na kucha Bandia, lakini pia amesema anaendelea kukusanya maoni kuhusu wale wanaojichubua ngozi zao ili nalo alifanyie maamuzi. Spika Ndugai amesema hayo...

  • Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mwandosya, ampa Wasira

    10 September 2018

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Stephen Masato Wasira kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere. Wasira anachukua nafasi ya Prof. Mark James Mwandosya. Wakati huo huo, Rais Magufuli amemteua...

  • Mchungaji aliyepigwa risasi 40 na majambazi bila kupenya mwilini

    10 September 2018

    Wakati ulimwengu ukibuni njia ya kuweza kubuni mavazi ambayo yatazuia risasi kutokupenya kiurahisi kwenye mwili wa binadamu, hii ni tofauti kwa Mchungaji wa Kanisa la Grace and Power Prophetic Ministry International, David Elijah kutoka Nigeria ambaye...

  • Daktari afunguka Kijana aliekutwa na Mswaki, Kijiko, Kiberiti, Betri tumboni

    06 September 2018

    habari ya kushangaza kutokea Mkoani Kagera ambapo Kaimu Mganga Mkuu wa Hospital ya Mgana Dr. Eliud Nyonyi anaelezea tukio la operation ambayo wameifanya hivi karibuni na kukuta vitu vya ajabu katika tumboni la mgonjwa. . Kakijana walio mpokea wiki iliyopita...

  • Mali za Mbunge Musukuma kupigwa mnada

    06 September 2018

    Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kupitia kampuni ya udalali ya LJ International Ltd imetangaza kuzipiga mnada mali za Mbunge wa Geita Mjini, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma. Mali zilizotajwa kupigwa mnada ni pamoja na kiwanja Na.275 Block kilichopo...

  • KUHUSU UGONJWA WA UKIMWI UMEZUNGUMUZIWA BEIJING CHINA

    06 September 2018

    Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na ugonjwa wa UKIMWI UNAIDS, wamekutana na kujadili mambo mbalimbali yanayohusu Ushirikiano wao katika kupunguza maambukizi ya ugonjwa huo. Mkutano huo uliopewa jina la “Thamani ya Taarifa kwa njia za kidigitali...

  • Kuna hatari kubwa ukimchunguza mpenzi wako

    07 September 2018

    MPENZI msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Wapo ambao si tu kwamba wanahisi bali wanawafumania kila kukicha wapenzi wao licha ya imani waliyokuwa wamejijengea kuwa wamepata...

  • MCHINA AFUKUZWA KENYA KWA KOSA LA KUMUITA RAISI WA KENYA NI NYANI

    07 September 2018

    Mfanyabiashara raia wa China anaeishi nchini Kenya, Liu Jiaqi amekamatwa kufuatia kusambaa kwa video yake katika mitandao ya kijamii inayomuonesha akiwakashifu raia pamoja na Rais wa nchi hiyo, Uhuru Kenyatta. Taarifa ya uhamiaji nchini Kenya imesema...

  • Mgombea mkuu wa urais Brazil achomwa Kisu

    07 September 2018

    Mgombea anayeongoza anaeminika anaweza kushinda uchaguzi nchini Brazili Jair Bolsonaro, amechomwa kisu wakati wa kampeni zake , mgombea huyo wa mrengo wa kulia alichomwa kisu katika mkutano mkubwa wenye mkusanyiko wa watu wengi katika eneo la kusini mashariki....

  • MREMBO WA YESU,MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ARICA FUNGO AMEZALIWA

    04 September 2018

    Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania mwana dada Arica Fungo leo anakumbuka siku ya mfano wa kuzaliwa tarehe 4.sep.2018 ametimiza miaka kadhaa HAPPY BIRTH DAY ARICA FUNGO.Mwimbaji huyu anaye tambaa na nyimbo kadhaa kama vile @ KIBURI CHA UZIM...

  • Askari polisi mbaloni kwa kusababisha kifo cha raia

    04 September 2018

    Jeshi la polisi mkoani Tabora linawashikilia askari wake 10 kwa kusababisha kifo cha Selemani Jumapili ambaye alifariki muda mfupi baada ya kufikishwa katika hospitali ya wilaya Igunga kwa matibabu. Baba wa kijana aliyeuawa kwa kupigwa na Polisi tisa...

  • Chadema wasusia Bunge, watoka ndani ya ukumbi

    04 September 2018

    WABUNGE wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akila kiapo cha uaminifu bungeni leo, Septemba 4, 2018. Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi...

1 2 > >>