Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog
PK ONLINE NEWS
Recent posts

MREMBO WA YESU,MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI ARICA FUNGO AMEZALIWA

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Muimbaji wa nyimbo za Injili kutoka Tanzania mwana dada Arica Fungo leo anakumbuka siku ya mfano wa kuzaliwa tarehe 4.sep.2018 ametimiza miaka kadhaa HAPPY BIRTH DAY ARICA FUNGO.Mwimbaji huyu anaye tambaa na nyimbo kadhaa kama vile @ KIBURI CHA UZIM...

Read more

Hizi ndio aina kumi za dawa ambazo hazipatani na pombe kabisa

September 4 2018 , Written by pascal kadushi

Kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe.hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya afya..kawaida dawa yeyote anayopewa binadamu kutibu kitu fulani ni sumu na ikichanganywa na baadhi ya kemikali kama...

Read more

NIMEKUSOGEZEA PK news KUSOMA VICHWA VYA MAGAZETI YA LEO 4 SEP 2018

September 4 2018

Hakuna haja yakupigana vikumbo kwenye vibanda vya magazeti etii unataka kupitia vichwa vya magazeeti sasa ni rahisi sana baada ya kupitia vichwa vyote vya magazeti ndani ya blog ya PK news Ingia sasa ukasome tayari nimekuwekea

Read more

Mchezaji bora wa Fifa: Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohamed Salah wafika fainali

September 3 2018

Cristiano Ronaldo, Luka Modric na Mohamed Salah ndio wachezaji watatu wa mwisho ambao watawania tuzo la mchezaji bora wa Fifa mwaka 2018. Mshambuliaji wa Barcelona raia wa Argentina Lionel Messi, mshindi mara tano wa tuzo la Ballon d'Or amekosa kuorodheshwa...

Read more

THAMANI YA PESA YA KENYA KWA PESA YETU YA KITANZANIA

September 3 2018

KES TZS coinmill.com 100.00 = 2270.55 200.00 4541.10 500.00 11,352.75 1000.00 22,705.45 2000.00 45,410.95 5000.00 113,527.35 10,000.00 227,054.70 20,000.00 454,109.35 50,000.00 1,135,273.45 100,000.00 2,270,546.85 200,000.00 4,541,093.70 500,000.00 11,352,734.25...

Read more

China yaahidi kuendeleza ushirikiano na Afrika, kutoa Dola Bilioni 60

September 3 2018

RAIS wa China, Xi Jinping amesema China itatoa jumla ya dola bilioni 60 za Marekani kwenye mpango wake wa miaka mitatu ya ushirikiano na Afrika katika shughuli za maendeleo. Ameyasema hayo leo (Jumatatu, Septemba 03 ,2018) wakati akifungua Mkutano wa...

Read more

Ratiba kamili ya mkutano wa 12 wa Bunge hii hapa

September 3 2018

Mkutano wa Kumi na Mbili wa Bunge unatarajiwa kuanza siku ya Jumanne tarehe 4 Septemba, 2018 na kumalizika tarehe 14 Septemba, 2018 Jijini Dodoma. Shughuli zitakazofanyika katika Mkutano huu ni kama ifuatavyo:- 1.0 KIAPO CHA UAMINIFU Kutakuwa na Kiapo...

Read more

Wanawake 2 wachapwa hadharani Malaysia kwa kufanya mapenzi ya jinsia moja

September 3 2018

Wanawake wawili nchini Malaysia waliopatwa na hatia ya kujaribu kufanya mapenzi ya jinsia moja ndani wamechapwa viboko kwenye mahakama ya kidini. Wanawake hao waislamu wenye umri wa miaka kati ya 22 na 32 kila mmoja alichapwa viboko sita kwenye mahakana...

Read more

MUIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI E.MBASHA AMCHARUKIA SHILOLE MSANII WA BONGO FLAVA

September 2 2018

Kupitia Acount ya instagram ya muimbaji na aliyekua mme wa frola mbasha kwa majina yake emmanuel mbasha amemubeza msani wa maigizo na bongo flava SHILOLE kuwa hakusitahili kuomba msaada kwa Raisi JPM kutokana na kuwa na jina kubwa na angeweza kupata msaada...

Read more
<< < 1 2 3 4